Natafuta kazi, nisaidieni

Natafuta kazi, nisaidieni

ninamdogo wangu ndio anaweza izo kaz na anauzoefu mkubwa hana aja ya mafunzo no +255 719 342 099
 
sorry beatifulonyinye. ni pm namba yko then tuwasiliane
asante
 
Mkuu nilikujibu pia nilikutumia pm,
mm ujuzi Wa sales and promotion niliupata kwenye makampuni ya marketing kama, Masoko company Ltd, Integrated Communication ltd, na experiential Marketing ltd. na kwa sasa mm nipo Dar es salaam

kama masoko' bila shaka ni kwa carlos,

kama exp' bila shaka ni kwa jovin,

kama inter bila shaka ni pale kwa wazee wa ku-agent!!

sio mbaya unaonekana una uzoefu ila ni mvivu!! si ungejaribu kuwaona NFT consult?
 
kama masoko' bila shaka ni kwa carlos,

kama exp' bila shaka ni kwa jovin,

kama inter bila shaka ni pale kwa wazee wa ku-agent!!

sio mbaya unaonekana una uzoefu ila ni mvivu!! si ungejaribu kuwaona NFT consult?

mvivu KVP Mkuu, unajua hiz Kazi zinaenda kwa kujuana Kaz wanawapa wazoefu ila mm hata mwaka bado kweny hizo of is za marketing unakuta wengine wana miaka kibao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom