Natafuta kazi, nisaidieni

Natafuta kazi, nisaidieni

beautifulonyinye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
728
Reaction score
481
Habari zenu wana JF.

Mwenzenu naomba mnisaidie natafuta kazi yoyote ya halali ispokuwa ya baa.

Umri wangu ni miaka 24, elimu yangu ni kidato cha nne, Nina certificate in hotel management na Nina uzoefu kama receptionist for almost a year. Lkn pia kazi niliyowahi kufanya ni sales and promotion as a brand ambassador.

Nina uwezo wa kuongea na kuandika lugha zote kwa ufasaha, both Endlish and Swahili . Naomba ndugu zanguni kwa atakayeguswa ani pm na mm nitampa no zangu.

Kwa kumalizia kazi nazoweza kufanya:

1.Office assistant
2.hotelier
3. brand ambassador
4.sales and marketing/shop keeper
5.housekeeper
Na nyingine ambazo ni za halali.

NATANGULIZA SHUKRANI. Nipo Dar es salaam
 
Pole.pia nakuambia kuwa utapata ndugu yangu.
Hebu pitia humu kuna nyuzi nyingi zinawataka watu kama wewe
 
Nahitaji mpishi mshahara ni mapatano ananipikia mimi
 
wakuu sijapata bado jaman nisaidien

muda ukifika utapata tu usijali, nawish ningekua nimeshaweka kila kitu sawa ningekuita ila nahofia coz ni ngumu mtu akuvumilie mwanzoni coz wengi wanaotafuta kazi wanatamani kukuta kila kitu kimeshakaa mkao.
 
muda ukifika utapata tu usijali, nawish ningekua nimeshaweka kila kitu sawa ningekuita ila nahofia coz ni ngumu mtu akuvumilie mwanzoni coz wengi wanaotafuta kazi wanatamani kukuta kila kitu kimeshakaa mkao.
OK, my dear nimekuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom