Natafuta Kazi/Fursa ya Kipato Songea, Mkoa wa Ruvuma

Joined
Aug 12, 2026
Posts
47
Reaction score
27
Habari wakuu wa JF,

Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi ya kunipatia kipato na ninatafuta fursa yoyote halali ili niweze kujitegemea.
Ninachoweza kutoa:

✅ Content Creator mwenye uzoefu (TikTok, Facebook) na mfuatiliaji wengi — naweza kutangaza bidhaa/huduma za biashara yako
✅ Uzoefu wa mauzo na biashara ndogo (retail/brokerage)
✅ Mchapakazi, mwaminifu, na tayari kujifunza chochote kipya
✅ Msikivu na mwenye nidhamu ya kazi
Natafuta:
Kazi yoyote halali Songea au mtandaoni mauzo, muuzaji duka, kazi za kampuni, kazi za mtandao (social media management, promotion), au fursa yoyote ya kujiingizia kipato.
Yeyote mwenye nafasi, anayefahamu fursa, au anayehitaji mtu wa kutangaza biashara yake mitandaoni — tafadhali niwasiliane:
📞 0762472799
Asanteni sana wakuu, msaada wenu utanisaidia sana kipindi hiki.
 
Anza kazi ya kujitolea kutangaza biashara ya Asante mama ..nahakika hatokutupa hapo songea ni miongoni mwa wawekezaji wakubwa .
 
Kufikia 2030 kazi nyingi zitakua zimefyekwa, kufikia 2040 Dunia itakua sura nyingine kabisa! Ukipata nafasi cheki podcast ya Diary of a CEO episode inaitwa "ChatGpt offered me $2 million to keep quiet"

Skill skill skill tujifunze ujuzi tena utakaohimili AI, inakuja kwa Kasi mnoo mwenye nafasi aweke akiba, apate eneo la shamba aanze kulima na kuweka visima vyake we won't know what hit us.
 
Back
Top Bottom