Natafuta kazi, nipo Ruvuma

Natafuta kazi, nipo Ruvuma

Mkuu mtoa hoja,mimi nipo huku lingusenguse Namtumbo, je una hati ya kusafiria(passport)?,kama jibu ni ndio panua wigo wako, ualimu wako huo viichi kama Swaziland, Lesotho unaweza bahatisha,au kama uwezo upo soma kuwa English language teacher, far east ndio kwa kuanzia,Good luck
 
Hati sina kaka
 
Ni mwalimu... Economics & geo by profession.
Nnaweza pia kazi nyingi za mikono na hata kusimamia kikundi fulani.
Ni mwaminifu.
Nimefanya kazi za mgahawa kwa muda na sasa nalengo kumuachia mke wangu..
Nipo tayari kufundishwa na kupewa ujuz mpya inapohusu kaz fulani.
Najifunza upesi boss wangu hutajutia kuwa nami...NISAIDIE
Mkuu nipo songea mm, kwasasa kuna nafasi ya ualimu enflish medium ,masomo ya sayansi, kama utaweza niambie nikuunganishe, mshahara lak 4 kwa mwezi mmoja .
 
wewe wale wale..mtu anaomba kazi wewe unamwambia akalime mtaji umempa acheni unafiki asiee.

Hafu me sijali kuonekana unavyataka kuniona siwezi kuishi maisha ya kuigiza kwa kuona wanaonisoma watanionaje.
Pumbavu wewe Kwa hiyo unafikiri mm Ruvuma sikujui au unafikiri mtaji wa kilimo Cha Ruvuma siufahamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom