Natafuta kazi, nipo Ruvuma

Natafuta kazi, nipo Ruvuma

NUHWAHI

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
309
Reaction score
493
Habarini wana jukwaa,

Tafadhalini naomba kazi niweze kujimudu na kumudu familia kiuchumi.

Hali ni tete naelekea kukata tamaa.

Ni kijana wa miaka 32.. ni mwepesi wa kazi na pia nakuwa mwepesi kujifunza jambo lolote jipya.

Napatikana Mkoa wa Ruvuma wilaya Mbinga.... Ntamudu kazi popote pale ndani ya nchi na nje pia
0755835012
 
KIjana mwenzangu unashindwa kwenda hata hapo machimbo ya makaa ya mawe ukaombe kazi hata yakufunika turubah magari makubwa.
 
Habarini wana jukwaa,

Tafadhalini naomba kazi niweze kujimudu na kumudu familia kiuchumi.

Hali ni tete naelekea kukata tamaa.

Ni kijana wa miaka 32.. ni mwepesi wa kazi na pia nakuwa mwepesi kujifunza jambo lolote jipya.

Napatikana Mkoa wa Ruvuma wilaya mbinga.... Ntamudu kazi popote pale ndani ya nchi na nje pia
0755835012
Una ujuz gan mkuu
 
Una ujuz gan mkuu
Ni mwalimu... Economics & geo by profession.
Nnaweza pia kazi nyingi za mikono na hata kusimamia kikundi fulani.
Ni mwaminifu.
Nimefanya kazi za mgahawa kwa muda na sasa nalengo kumuachia mke wangu..
Nipo tayari kufundishwa na kupewa ujuz mpya inapohusu kaz fulani.
Najifunza upesi boss wangu hutajutia kuwa nami...NISAIDIE
 
Hauoni kama kauli hii ina reflect tabia zako na kukufanya uonekane kijana wa tofauti hata kwa wasomaji wengine??
wewe wale wale..mtu anaomba kazi wewe unamwambia akalime mtaji umempa acheni unafiki asiee.

Hafu me sijali kuonekana unavyataka kuniona siwezi kuishi maisha ya kuigiza kwa kuona wanaonisoma watanionaje.
 
Ni kuvumilia tu..ni namna yake ya kushauri... Ila huyohuyo pia anakushika mkono na mnaenda sawa..katika maisha br Mnyunguli nimekutana na wengi..kila mmoja ni muhimu eneo fulani
 
wewe wale wale..mtu anaomba kazi wewe unamwambia akalime mtaji umempa acheni unafiki asiee.

Hafu me sijali kuonekana unavyataka kuniona siwezi kuishi maisha ya kuigiza kwa kuona wanaonisoma watanionaje.
Lakini mkuu, mimi sijawahi kumshauri mtu yeyote hapa jf akalime.
Na sikuzote mimi naamini kijana akipata kuwezeshwa (mtaji) ndipo ataweza.
By the way unaonekana kama tayari umejaa sumu, hivi kwanini usiwalaumu wazazi wako kuliko walimwengu...🤔🙄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom