Hemedy rashidy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 244
- 147
Sogea mkoa wa Pwani kuna viwanda vingi sana ila malipo ni kati ya 7000 na 8000 kwa sikuWakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali.
Kwa jina naitwa hemedy umri. wangu 25years
kwa sasa nipo mkoani mbeya ila home ni dar nimekuja mdogo wenu nna shida na kazi elimu yangu form 4
Mwenye connection yoyote ya kazii iwe hapa hapa mbeya au dar naomba asisite kunistuwa mdogo wake maana street pamekuwa pagumu mpaka tunaamuwa kwenda mikoanii labda tutapata connection lakini wapii namba zangu ni hizii 0762407301 BLESSINGS
Pwanii ndo home uncle naishiii temeke ila kwa sasa nipo mbeya kwa father mdog nna miezi 2 tu nimekuja kubadilisha mazingila kidogo ila ntarudii mwezii 3Sogea mkoa wa Pwani kuna viwanda vingi sana ila malipo ni kati ya 7000 na 8000 kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukranii sana uncle pia viwanda vipo ila mpaka uwe na connection ya mtu hivi hivii kupata chance ngumu
Namba ya watu Dar na Mbeya Ni tofauti kwa maana Dar Kuna idadi kubwa ya watu .Nauri uliyotumia kutoka Dar kwenda Mbeya ilikuwa Ni mtaji tosha kabisa wa biashara ndogondogo ambayo ungeweza kuisimamia vizuri mpaka mtaji ukaongezeka ,kwa hapo Mbeya Kama unaweza kazi labda uende mbarali shambani wanakolima mpunga ukatafute mtaji uanze hata biashara ya chupi za kike itakuibua Tena uwapelekee manyumbani mwao usiwasubiri wateja barabarani.Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali.
Kwa jina naitwa hemedy umri. wangu 25years
kwa sasa nipo mkoani mbeya ila home ni dar nimekuja mdogo wenu nna shida na kazi elimu yangu form 4
Mwenye connection yoyote ya kazii iwe hapa hapa mbeya au dar naomba asisite kunistuwa mdogo wake maana street pamekuwa pagumu mpaka tunaamuwa kwenda mikoanii labda tutapata connection lakini wapii namba zangu ni hizii 0762407301 BLESSINGS
Ukirudi tuwasilianeShukranii sana uncle pia viwanda vipo ila mpaka uwe na connection ya mtu hivi hivii kupata chance ngumu
Shukranii uncle nitaku check
Shukranii kakaNamba ya watu Dar na Mbeya Ni tofauti kwa maana Dar Kuna idadi kubwa ya watu .Nauri uliyotumia kutoka Dar kwenda Mbeya ilikuwa Ni mtaji tosha kabisa wa biashara ndogondogo ambayo ungeweza kuisimamia vizuri mpaka mtaji ukaongezeka ,kwa hapo Mbeya Kama unaweza kazi labda uende mbarali shambani wanakolima mpunga ukatafute mtaji uanze hata biashara ya chupi za kike itakuibua Tena uwapelekee manyumbani mwao usiwasubiri wateja barabarani.