Natafuta kazi, nipo Mbeya

mwakyindi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,627
Reaction score
2,216
Habar wakuu!

Msaada wakuu niokoe apa jahaz apa nyumban Naomba mtu anae weza kunisaidia kuniunganisha nikapata kaz yoyote ya viwandan hapa mbeya au kaz ya ufundi ujenzi mimi ni fundi.
 
Habar wakuu! Msaada wakuu niokoe apa jahaz apa nyumban Naomba mtu anae weza kunisaidia kuniunganisha nikapata kaz yoyote ya viwandan apa mbeya au kaz ya ufundi ujenzi mm nifund namba yang 0623935516 [emoji120][emoji120]
 
Ningekua mbeya mimi, muda huu na sina kitu.
Nimgehamishia maisha yangu pale border tunduma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…