Alikukosea nini mkuu?.Kama ndio yule loan officer uliekua udsm mwenye ki-alteza nakuombea usipate kazi kabisa.
Sasa ilikuwaje ukaacha huo U loan officer?.Mimi ni kijana ambaye nimesoma degree ya Business Administration in Accounting and Management. Work experience ni Loan Officer for 3 years.
Nakuja kwenu kuomba kazi. Kwa mwenye connection na financial company naomba anisaidie kupata nafasi.
Pole sana.yap ndugu.
Oh!!!,pole sana mkuu,nakuombea kwa Mungu aliyemgawaji wa riziki akujalie mafanikio ktk harakati za kujitafutia mkate wako.Kila kheri ndugu yangu.Redundancy.
Hapana.Asante...ndugu vip na wewe umeshawah fanya kazi uko???
Nahisi inakufa sababu ata mikopo mipya haitolewi tana....na c unajua now wanapata changamoto sana coz kuna company ving vinatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo.Hapana.
Nina watu nawafahamu hapo wote wamepigwa chini.
Hiyo kampuni inakufa au?
Ni kweli.Nahisi inakufa sababu ata mikopo mipya haitolewi tana....na c unajua now wanapata changamoto sana coz kuna company ving vinatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo.