Natafuta kazi, nina uzoefu wa miaka 3 kama Loan Officer

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,015
2,000
Mimi ni kijana ambaye nimesoma degree ya Business Administration in Accounting and Management. Work experience ni Loan Officer for 3 years.

Nakuja kwenu kuomba kazi. Kwa mwenye connection na financial company naomba anisaidie kupata nafasi.
 
Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
8,670
2,000
Mimi ni kijana ambaye nimesoma degree ya Business Administration in Accounting and Management. Work experience ni Loan Officer for 3 years.

Nakuja kwenu kuomba kazi. Kwa mwenye connection na financial company naomba anisaidie kupata nafasi.
Sasa ilikuwaje ukaacha huo U loan officer?.
 
  • Thanks
Reactions: amu

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,124
2,000
Nahisi inakufa sababu ata mikopo mipya haitolewi tana....na c unajua now wanapata changamoto sana coz kuna company ving vinatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo.
Ni kweli.
Huku nilipo kuna vikundi vingi sana vya mikopo kwa mhindi ASA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom