Natafuta kazi, nina uzoefu wa Kompyuta na kazi za Mapokezi

Traviana Tray

JF-Expert Member
Jul 8, 2017
546
457
Habari zenu?

Nipo dar, Nina uzoefu wa
  1. Kuhudumia ofisini(office attendant)
  2. Kupokea wageni(reception)
  3. Tehama(Computer)
Nahitaji kazi yoyote,
Kama unaweza kunisaidia ni pm.
 
Kama uwezi kumsaidia kaa kimyaa usimwalibie mwenzio siyo vizuri acha chuki roho mbaya aijengi
 
Habari zenu?
Nipo dar,
Nina uzoefu wa
.Kuhudumia ofisini(office attendant)
.Kupokea wageni(reception)
.Tehama(Computer)
nahitaji kazi yoyote,
kama unaweza kunisaidia ni pm.
Mshahara unategemea kuanzia sh ngapi? Kabila yako (samahani naulizia kabila, nina maanayangu).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom