Natafuta kazi nina shahada ya Uuguzi

the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,814
2,000
Kama una nursing unakosa kazi basi hakuna kitu ungesoma ukaajiliwa frankly speaking.
Inamaana unaishi wapi ambako hakuna private hospitals na zahanati au maduka ya dawa za binadamu?????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom