Wakati unaendelea kutuma maombi ya kazi huku na kule, nakushauri pia ukae chini na kuangalia changampto zilizopo katika jamii yetu ya kitanzania, mfano changamoto ya utunzaji wa mazingira, magonjwa ambayo yanadhoofisha maendeleo, changamoto ya mmomonyoko wa maadili n.k
Baada ya hapo andikia proposal moja ya changamoto ambazo wewe unataka kujikita huko ili kupunguza au kutatua changamoto hiyo. proposal hiyo utaipeleka katika taasisi na mashirika mbali mbali kwa lengo la kupata wafadhri na mwisho wa siku ukiwa umeandika vizuri utapata wafadhiri wenye nguvu na moja kwa moja utakua umejiajiri wewe mwenyewe kwa mtindo huo.