Natafuta kazi, Nina Shahada ya Elimu

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
147
108
Habari zenu naitwa Anneth nipo Dar es Salaam. Elimu yangu ni Shahada ya Elimu.

Naomben kazi yoyote nipo tayari kufanya; hata kufundisha, hata kazi nyingine, muhimu mkono uende kinywani.

Please, natumaini mtanijibu na kufanikiwa.

Mungu awabariki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom