Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Mkishakaa kwenye Maofisi yenu huku mkipulizwa na kipupwe huku vidole vikiwa kwenye laptop mnawaona vijana wasiokuwa na kazi ndio majalala,hawajitambui au ngazi ya kufanikisha madili yenu sio, akisha tembea asubuhi mpaka jioni huku akimaliza soli za viatu,njaa na kiu halafu ili iweje?halafu unamshauri aende kuomba msaada eti kwa RC au DC na wakati hao hao ndio wanatuchinjia baharini kwa mipango yao ya kiserikali isiyo na tija kwa vijana kujiajiri au kuajiriwa bila kusahau kupeana nafasi za kazi kindugu au mpaka uhonge hela ndefu.
mimi nina project ya kulima viazi ulaya,sasa alie tayari kuvolunter ilimradi awe na uwezo wa kulipunga jembe la mkono,anakaribishwa sana.malazi na chakula bure.
Hili taifa halito endelea kamwe yana una kaa nyumbani miaka yote unasubili kazi?
Ina maana huna mbinu nyingine ya kutoka kimaisha?
Mi nita mpa ardhi alime
Mkishauriwa kasome education,mnabetua midomo kama mmeona kinyesi,ooh nani awe mwl?Iwe funzo kwa wanaosubiri kujiunga na vyuo,pima hali ya familia yenu na uwezekano wa ajira kwa kozi unayotaka kusomea,acha kusoma kwa kufuata mkumbo na mtizamo wa marafiki.

walimu nao wamekuwa wengi. Juzi nilikuwa kwa mkurugenzi wa wilaya moja anasema shule zimejaa walimu hana pa kuwaweka. Mkuu wa shule ninapozaliwa alinambia kipindi kimoja kina walimu 6 sooo ujasiliamali ndo solution
Naweza kabisa Nina ndugu wa kufikia mkuuPole sana hakuna lenye mwanzo bila mwisho Sasa naomba kujua kama unaweza kuja Dar Es salaam kama uko na ndugu au sehemu ya kufikia.
Naweza kabisa Nina ndugu wa kufikia mkuuPole sana hakuna lenye mwanzo bila mwisho Sasa naomba kujua kama unaweza kuja Dar Es salaam kama uko na ndugu au sehemu ya kufikia.
Majibu muda sio mrefuStrong woman. Kuna mda juzi kati ulikuja na uzi kuwa umepata mchumba unataka kuolewa ilikuwaje? Je anafanya kazi? Kama ndio kwanini usimshirikishe kwenye tatizo lako atleast akakupa mtaji ka kianzio huku ukitafuta kazi bila presha. Sory kwa maswali na mungu akutangulie.
Hao waalimu nao mmewajaza mijini tu tena kwa kupewa vijisenti vidogo vidogo.
In real statistics kuna shule zina waalimu less than 5 huku wanafunzi wakiwa 500+.
Shule haziko mijini tu...
Bado hujaniaminisha.hapana ni kijijini kwetu