strong woman
Senior Member
- Jul 11, 2013
- 131
- 37
- Thread starter
-
- #41
Kaka vipi jamani mm nimesoma agriculture development and rural transformation miongoni kwa course zangu, pia Nina experience kidogo ya shirika la kilimo la Rural livelihood development company, plz nipm tuongeeDuh pole ndugu umesomea nini ndugu itasaidia zaidi kuwafungua hawa watu. Kama ni mtaalamu wa kilimo nahitaji mtaalamu wa kilimo nifanye naye kazi za kilimo cha umwagiliaji mikoa ya morogoro na pwani
Ajira za utumishi uombe mkuu usiache ndio watoto wa masikini tunapokimbilia
Mkuu asante kwa ushauri nzuri wa kunipa moyodon't worry, utapata tu, kuwa na imani, jitihada zako zitazaa matunda someday, usikate tamaa na punguzA stress, mama yako anakuombea and you have the bright future, believe me
Asante mkuu ntaziweka nikikaa na computer thanks jamaninakushauri ujieleze vya kutosha uweke particulars zote za muhimu angalau uweze kuuzika vizuri ili waajiri wasisumbuke kutambua potential uliyonayo. Punguza pia kulalamika.
Taaluma yako ni potential tosha sana kujiajili,
unafahamu kitu kinachoitwa social entrepreneurship?
Usifikirie sana ajira za kuwekwa kwenye ofisi za watu jaribu kuwa diverse kimawazo kila kitu kitakwenda vizuri tu
but kama umejitosa kwenye ajira fanyia kazi hayo yatakusaidia
Je unaweza kazi ya kufundisha?
kama jibu ni ndio.. nambie unaweza kufundisha masomo gani kati ya haya.. civics,kiswahili na geography..
je ulipata div ipi form 6?
nijibu hayo maswali
mimi nina project ya kulima viazi ulaya,sasa alie tayari kuvolunter ilimradi awe na uwezo wa kulipunga jembe la mkono,anakaribishwa sana.malazi na chakula bure.