Natafuta kazi, nina Shahada ya Biashara

Natafuta kazi, nina Shahada ya Biashara

neda

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
14
Reaction score
5
Habari wana jamii forumn,naombeni msaada wa kazi yoyote mm ni ke nna degree ya biashara.nmezunguka na bahasha bila mafanikio,msaada pleez
 
Jiajiri mdada

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kama una degree ya biashara Mimi nakushauri a cha kabisa kutafuta Kazi kuanzia Leo chukia Kazi ya kuajiriwa ukifanikiwa kuichukia tafuta mtaji hata laki moja anzisha biashara. Na wakati unatafuta mtaji wafuate wafanya biashara wa kati waambie nia yako kila ukitembea sema naichukia Kazi y kuajiriwa kua bosi wako mwenyewe. U can au chuo mmejifunza kusimamia viwanda na kuwafundisha watu biashara lakini nyinyi hamuwezi kuitumia elim hyo kufanya makubwa? Eeeh
 
Tatzo mtaji nao ni sheedah nway ntafanya hivo wakuu
 
Najua ushauri wangu hapo juu kwenu wana vyuo huaga unawachoma saana kwasababu mlipo kua vyuo mlidanganyana sana kwamba mtaan Kazi zipo kibao sasa ukweli ndio huo ulio kutana nao na ushauri nilio toa ukianza Leo kuufanyia Kazi baada ya miaka kumi hautakua sawa na aliyeanza Kazi juzi baada ya hyohyo miaka kumi... sasa we we endelea kuchukua shauri nyepesi na zinazokupa matumaini wakati uhalisia haupo hvyo...
 
Nmemalza mwaka jana

hebu jaribu kufikiria biashara na uachane na mawazo ya kazi kwakua elimu ya kiafrica ni DOGMATISM THEORIES inakufanya uwe tayari kwakazi ya kuajiriwa.. ebu jiulize elimu uliosoma inatija gani kama haiwezi kukuwezesha hata kugenerate sh10 na mtu ambae hajamaliza hata la saba anagenge na anaingiza.kwakua wewe ni mpya humu ndani, ebu jaribu kufatilia moja ya mada zangu search" unajua unamiliki nini kati ya asset au liability" pengine inaweza kukupa mwanga juu ya nini cha kufanya.. nikupe moyo tu yakua kazi kua nayo si mbaya lakini usiwazekua nayo kama hauna lakini waza kuajiri na si kuajiriwa kwakua kuajiriwa ni utumwa.
 
Shida inaanzia pale unapo ona ni shida kubwa lakin ukiona ni Dogo nalo linakua Dogo hata ungetaka million 4. Badili mtazamo wako inaniuma saana kikweli mnapo kosa Kazi na mmepoteza mda mwingi sijutii kutosoma kwangu kwa kukosa msaada kwani still na sarvivo na matumaini ya kua millionaire ninayo 100% OVER
 
Ebu jaribu kutengeneza bussiness plan najua umebobea katika biashara alafu fika bank

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Najua ushauri wangu hapo juu kwenu wana vyuo huaga unawachoma saana kwasababu mlipo kua vyuo mlidanganyana sana kwamba mtaan Kazi zipo kibao sasa ukweli ndio huo ulio kutana nao na ushauri nilio toa ukianza Leo kuufanyia Kazi baada ya miaka kumi hautakua sawa na aliyeanza Kazi juzi baada ya hyohyo miaka kumi... sasa we we endelea kuchukua shauri nyepesi na zinazokupa matumaini wakati uhalisia haupo hvyo...

you are very much right nakwakweli nadhani si kosa lao bali ni kosa la kimfumo wa elimu ambayo vijana wanapaiwa ndo maana mtu anamaliza telecommunication engeneering lakini laptop inapata tatizo unashangaa anaipeleka kariakoo agrey ikatengenezwe na fundi ambae hata fom1 haijui.AIBU SANA
 
Asanteni kwa ushirikiano wenu,ushahuri wenu ntaufanyia kazi kuanzia sasa:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Tunakuhitaji hapa kila baada ya step na huo mtazamo Wa ni sheeeeda inaonyesha fiesta dar hutakosa iangalie vizuri hyo pia lol otherwise pamoja saana...
 
Najua ushauri wangu hapo juu kwenu wana vyuo huaga unawachoma saana kwasababu mlipo kua vyuo mlidanganyana sana kwamba mtaan Kazi zipo kibao sasa ukweli ndio huo ulio kutana nao na ushauri nilio toa ukianza Leo kuufanyia Kazi baada ya miaka kumi hautakua sawa na aliyeanza Kazi juzi baada ya hyohyo miaka kumi... sasa we we endelea kuchukua shauri nyepesi na zinazokupa matumaini wakati uhalisia haupo hvyo...

Ushauri mzuri mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom