miriam 111
Senior Member
- Aug 25, 2018
- 100
- 77
Sawa kaka, nakutafuta.Kama uneweza kufanya kazi za ulinzi...mshahala kuanzia 250000/= ila uwe na uhakika kuwa wewe ni mrefu.
Nitafute: 0685135859
Je ulifanikiwa kupata kazi.Kama uneweza kufanya kazi za ulinzi...mshahala kuanzia 250000/= ila uwe na uhakika kuwa wewe ni mrefu.
Nitafute: 0685135859
Bado mkuuJe ulifanikiwa kupata kazi.
Kama uneweza kufanya kazi za ulinzi...mshahala kuanzia 250000/= ila uwe na uhakika kuwa wewe ni mrefu.
Nitafute: 0685135859
Kama uneweza kufanya kazi za ulinzi...mshahala kuanzia 250000/= ila uwe na uhakika kuwa wewe ni mrefu.
Nitafute: 0685135859
Lissu ndiye rais aliyeahidi ajira kwa vijana. Huyu mwingine anasema mjiajiri
Vp kazi tayari?
BadoVp kazi tayari?
Sawa, asante sanatafuta kazi mtandaoni www.udrim.com
Tuma namba nimtumie mtu mkaelewana hukoSawa, asante sana
Sawa ,nakutumiaTuma namba nimtumie mtu mkaelewana huko
Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi.
Tusaidiane ndugu zangu
Mimi ni binti miaka 24
Napatikana tabata DSM
Elimu kidato cha 4
Pia nimesoma computer basic applications na niko vizuri kwenye Ms Word, Ms Excel ,PowerPoint, Publisher na hata matumizi ya internet.
Nmefanya kazi kama wakala wa Equity Bank pamoja na Nmb Bank
Pia nimefanya kama secretary
Pia nina uwezo wa kupika chakula vizuri, bites na kutengeneza juice nzuri za matunda na Ukwaju
Hata wenye connection za viwandani pia nipo tayari
Ahsanteni.
Tayar nduguTuma no zako dm
Wengine n matapeli ndugu yanguNdg ,,,,miriam ntaomba mrejesho kwa hawa member if kwel wote wana nia ya kutoa ajira kwako au connection maaana kjn wa kiume akipost ze same need pipo zna nyaraaa