Natafuta kazi, nina Diploma ya Utawala

Natafuta kazi, nina Diploma ya Utawala

dely

Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Mimi ni kijana mwenye umri was miaka 22 nimehitimu diploma ya Utawala(Human resource), mimi ni mchapa kazi,ninauwezo wa kufanya kazi pasipo usimamizi, napenda kujifunza vitu vipya na pia naweza kumudu mazingira yoyote ya kazi.Naomba nafasi ya kazi.Asante sana.
 
Hongera kwa elimu yako ulonayo kwa kwel ajira siku hz ni bahati,ila kwa kumtegemea Mungu wakat ukifika unapata.naomba uje pm nimekutumia mes.huko
 
sijaelewa hapo tafsiri ya diploma ya utawala in bracket ukasema human resource..kama ni utawala ni public administration na human resource ni rasilimali watu..embu weka maelezo ya kina zaidi wadau tujue tunakusaidiaje
 
Mbona kazi za mtendaji kijiji kila mara zinatangazwa si uapply ndio kazi zenu hizo
 
sijaelewa hapo tafsiri ya diploma ya utawala in bracket ukasema human resource..kama ni utawala ni public administration na human resource ni rasilimali watu..embu weka maelezo ya kina zaidi wadau tujue tunakusaidiaje
Nadhani kuna hoja ya msingi hapa! dely unatakiwa kujibu kabla hatujakulima swali la nyongeza!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom