Natafuta kazi nina diploma ya Business Administration

Natafuta kazi nina diploma ya Business Administration

Bachelor of Theology (University of Delhi)

ahnaaa sawa sawa nw naona pamoja na elimu yooote uliyo nayo kumbe hakuna kitu kumbe hata mm nliye held o level education nimekuzidi kwa akili ya kawaida tu kijamii ko kumbee kwa sababu unachet cha theology basii ndo unawadimiza waconsvyo co??? ckia mkuuu kibinadamu hp duniani tunapita tu its means ulicho nacho ww icwe ni chanzo cha kumkatisha tamaa mwenzio cz at the end of time vyote nothin kwako utavacha hphp duniani utu na busara ni muhimu kwani umeshindwa nn kukaa kimya km umeona huna la kumshauriii mbaka uandike maneno km hayoo mkuu co ishu afu ikucheki ur aged!!!!
 
hata awe na phd ni ya kwake yeye mkuu iweje awanyanyase wengine huuu ndo tunauita ulimbukeni jamaa kaaomba ushauri just ushauri xo km hana cha kumshauri c anyamaze kimya yaani watu weusi ndo maana hatuendelei mtu baada ya kumpa push binadam mwenzie anamdidimiza chini kisa yy yupo juu ni upuzi na ujinga pamoja na elimu tunazopewa madarasani, misikitin na makanisani badooo kazi bureee cjui tutaelimika liniii .....oooooooh poor black pipo!!!

Watu disign hiyo ni wakuachana nao tu #Frank_G usiumize kichwa chako. Kwani sio wote walosoma wameelimika wengine ndo ndo hao hapo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom