Natafuta kazi jamani msaada nimemaliza chuo july 2014 nipo mbeya umri miaka 24 ata kama nikuuza duka la bidhaa za aina yoyote nipo tayali.
Dongola kwanza hongeara kwa elimu uliyopata kwani kuna wengi wanapenda wapate walau certificate wameshindwa kutokana na hali ya maisha.Ushauri wangu kwako kwanza jitahidi kuandaa cv nzuri na cover then zitumr kwenye email za hotel na mashirika yaliyopo hapo ulipo na hata sehumu nyingine.Pili kama una kipato chochote unaweza anza kufanya ujasiliamari kama vile kununua kuku vijijini na kuuza maeneo ya mjini hata ukipata elfu 2 au 3 kwa kuku mmoja utapata kipato kizuli tu.Tatu unaweza kufungua center ya kufundisha tution ukaanza na watoto wachache waliopo eneo unalo ishi na jinsi utakavyokuwa makini na kazi yako ndo utakavyozidi pata wateja wengi.Pia kama una ndugu dsm unaweza muomba awe anakutumia vitu vidogo vidogo then unauza unapata vijisent kidogo.
Ni hayo tu kutoka kwangu

Diploma ni elimu ndogo sana. Nakushauri mambo mawili
1. Endelea na masomo ya shahada ya kwanza na uzamili
2. Kama huna hobby ya kusoma, nenda kalime mchicha kijijini.
Dongola kwanza hongeara kwa elimu uliyopata kwani kuna wengi wanapenda wapate walau certificate wameshindwa kutokana na hali ya maisha.Ushauri wangu kwako kwanza jitahidi kuandaa cv nzuri na cover then zitumr kwenye email za hotel na mashirika yaliyopo hapo ulipo na hata sehumu nyingine.Pili kama una kipato chochote unaweza anza kufanya ujasiliamari kama vile kununua kuku vijijini na kuuza maeneo ya mjini hata ukipata elfu 2 au 3 kwa kuku mmoja utapata kipato kizuli tu.Tatu unaweza kufungua center ya kufundisha tution ukaanza na watoto wachache waliopo eneo unalo ishi na jinsi utakavyokuwa makini na kazi yako ndo utakavyozidi pata wateja wengi.Pia kama una ndugu dsm unaweza muomba awe anakutumia vitu vidogo vidogo then unauza unapata vijisent kidogo.
Ni hayo tu kutoka kwangu
Asante kwa ushauli mzuli T02004
mkuuu kwani ww una elimuuuu ya level ipi labda????
Unaweza kukuta hata fom4 hajamaliza af anakuja kupigia kelele graduates humu
mkuuu kwani ww una elimuuuu ya level ipi labda????
kuna jamaa huwa wanakodisha bunduki kwa mtu an a yet aka kujiajiri ni PM
maana ajira siku hizi ngumu sana ,utatoka kimaisha soon