kandoswe
Member
- Nov 23, 2016
- 31
- 12
Kichwa cha habari hapo juu chahusika nimesoma Business Administration Diploma na nimefanya kazi kwa miaka 2 kama secretary hivyo katika kampuni moja naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia nnaweza computer kazi za stationary, kuandaa docs za tender hasa katika masuala ya IT, reception,
Karibuni, napatikana Dar
Karibuni, napatikana Dar