Dogo nakushauri endelea kupiga kitabu.... piga diploma ukimaliza ndio mishe za kazi zianze... procurement ajira nying zinaanzia DiplomaNi kijana wa miaka 21,natafuta ajira halali yakufanya,nina certificate ya procurement&supply pia nina talent ya presenting (presenter) kwahyo naweza kufanya hata kazi za entertainment pia,Kwa maelezo zaidi please naomba uni PM.
kweliDogo nakushauri endelea kupiga kitabu.... piga diploma ukimaliza ndio mishe za kazi zianze... procurement ajira nying zinaanzia Diploma