Wadau habari zenu, nimekuja kwenu kupata msaada wa nafasi yoyote halali ya kazi. Nina stashahada ya utunzaji kumbukumbu (diploma in records management).
Ninauzoefu wa kutumia kompyuta pia nimewahi kufanya kazi za kujitolea upande mapokezi.
Nimatumaini yangu kuwa nitapata matokeo chanya kutoka kwenu, kwa mawasiliano zaidi ni PM. Asanteni sana na Mungu awabariki!.