Natafuta kazi

Cute Fifi

Member
Jul 16, 2023
5
5
Habari JF
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short course Certificate ya Secretarial duties. Nina uzoefu kidogo kwenye kazi za kijamii hasa upande wa NGO‘s lakini pia kwenye Serikali za mitaa.

Kwa upande wa Secretarial ninao pia uzoefu kidogo hasa kwa upande wa customer care, Lakini pia kama nitapata kazi halali nje ya profession niliosomea pia naweza kufanya panapo makubaliano mazuri ya kazi husika.

Naomba kuwasilisha.
 
Secretary umesomea shorthand, typing na hati mkato, au office practical tu.
 
Andika kiswahili pia ujuzi wako.

Nina Stashahada ya Mipango ya maendeleo vijijini, lakini ndani yake nimesomea kozi sabjekt kama accounting(uhasibu),mambo ya miradi (projects),uchumi, mambo ya utawala, maendeleo ya jamii, TEHAMA n.k
Natumaini umeshanielewa mkuu.
 
Habari JF
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short course Certificate ya Secretarial duties. Nina uzoefu kidogo kwenye kazi za kijamii hasa upande wa NGO‘s lakini pia kwenye Serikali za mitaa.

Kwa upande wa Secretarial ninao pia uzoefu kidogo hasa kwa upande wa customer care, Lakini pia kama nitapata kazi halali nje ya profession niliosomea pia naweza kufanya panapo makubaliano mazuri ya kazi husika.

Naomba kuwasilisha.
tUWASILIANE KWA KAZI 0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom