Natafuta kazi, nimesomea Procurement and Logistics Management

Natafuta kazi, nimesomea Procurement and Logistics Management

Kila LA kheri, Mungu akutendee kadri uombavyo..

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
 
mkuu uza smartphone hiyo upate mtaji.. usilie ajira wakat una simu ya bei huko ni kufirisika kifikra..!!!
 
Umemaliza kitambo ulikuwa wapi mda wote huo ok utapata tu kama ulivyo pata ulipo kuwepo sawa ondoa hofu zamu yako bado

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Yes Purchasing,Tendering, Store Management (Material management) wanayasoma sema Kwenye Procurement wamejikita sana katika Public Procurement wenyewe watakuja kutuelezea.
Asante mkuu
 
mkuu uza smartphone hiyo upate mtaji.. usilie ajira wakat una simu ya bei huko ni kufirisika kifikra..!!!
Huu ushauri ni balaa!
IMG-20170714-WA0018.jpg

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
mkuu uza smartphone hiyo upate mtaji.. usilie ajira wakat una simu ya bei huko ni kufirisika kifikra..!!!
Mkuu acha fitna mwenzio ndio kitendea kazi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wapendwa nna umri Wa miaka26,nimemaliza diploma ya procurement & logistics management 2014 Chuo cha uhasibu(TIA) natafuta kazi zinazorelate na fani yangu.

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
Google arusha job vacancy

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom