mpare wa milimani
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 293
- 302
- Thread starter
- #21
AsanteGoogle arusha job vacancy
Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
AsanteGoogle arusha job vacancy
Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Asante nitalifanyia kazikwanza anza kufanya kazi za ku volunteer , kwenye mashirika kama Tanzania Redcross, na the like, then apply hapapa, www.unv.org, www.msf.org, www.msf.es, au hapa , www.savethechildren.org, pia tembea pale Railway makao makuu Dar Kamuone kATIBU wa CILT international mzee Ramadhani Sawaka ili upate uanachamaa wa CILT international, mwambie nimeku refer , kwa jina langu hali ni inbox , mimi ni senior Humanitarian Medical Logistician , niko huku mbali ila nilianza kama wewe
Vitu kma huvijui kaa kimya isipende kuonesha ujinga wako.Procurement siyo Course ni Programme inahusiana na Manunuzi, mambo ya tenda, Store n.k
wewe at least amepata mwanga kidogo wewe mwenye akili mbona Hujamuelewesha?Vitu kma huvijui kaa kimya isipende kuonesha ujinga wako.
Makada wa CCM bwana!!!!
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
AminaKaaa Kimyaa Kumma ya Mama yako wewe at least amepata mwanga kidogo
Nafanya shuguli ndogo ndogo huku natafuta ajira nduguNakupa pole. Mi mwenzio niliweka vyeti pembeni vya Bs in Procurement n supply chain managmt. Sasa nafanya biashara zangu. Sina muda na ajira sasa hata kwa payroll ya 10m.
Maisha ya sasa urmtaumia ukitaka kufanya kazi ya mambo uliyosomea tu.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ongeza bidii kwa icho kidogo unachofanya. Onyesha nia na ukipendee. Mungu atakuongezea.Nafanya shuguli ndogo ndogo huku natafuta ajira ndugu
Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
ebu tulia kidogo unapowakilisha taarifa umeendika nini sasa bloodful kabisapole sana,.hii kozi ya manunuzi nashauri serikali iifute,kwa muda waliosoma hii kozi ni wengi mnoooo,.nashauri serikali izi promote kozi kama BA ungesoma BA wala usingepata shida zote hizi
kasome kwanza kadiploma tu unatak kazWapendwa nna umri Wa miaka26,nimemaliza diploma ya procurement & logistics management 2014 Chuo cha uhasibu(TIA) natafuta kazi zinazorelate na fani yangu.
Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
pole sana,.hii kozi ya manunuzi nashauri serikali iifute,kwa muda waliosoma hii kozi ni wengi mnoooo,.nashauri serikali izi promote kozi kama BA ungesoma BA wala usingepata shida zote hizi
BA ndo nini?ebu tulia kidogo unapowakilisha taarifa umeendika nini sasa bloodful kabisa
sijuh ni muhanga wa vyeti feki kenge wa bluuuuu kabisa huyuBA ndo nini?
Mambo ya taaluma muwaachie wenye taaluma zao.Yes Purchasing,Tendering, Store Management (Material management) wanayasoma sema Kwenye Procurement wamejikita sana katika Public Procurement wenyewe watakuja kutuelezea.
Wazo zuri sana... Fanyia kazi mgavi mwenzangukwanza anza kufanya kazi za ku volunteer , kwenye mashirika kama Tanzania Redcross, na the like, then apply hapapa, www.unv.org, www.msf.org, www.msf.es, au hapa , www.savethechildren.org, pia tembea pale Railway makao makuu Dar Kamuone kATIBU wa CILT international mzee Ramadhani Sawaka ili upate uanachamaa wa CILT international, mwambie nimeku refer , kwa jina langu hali ni inbox , mimi ni senior Humanitarian Medical Logistician , niko huku mbali ila nilianza kama wewe
Si kweli kwamba kwenye procurement wamebase kwenye public procurement mkuu. Hata kwenye private iko hivyo sema kuna utofauti tu wa procedures ya procurement gvt na private. Ila procurement ina apply koteYes Purchasing,Tendering, Store Management (Material management) wanayasoma sema Kwenye Procurement wamejikita sana katika Public Procurement wenyewe watakuja kutuelezea.