dicksonjohn
Member
- Feb 8, 2017
- 13
- 2
Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu natafuta kazi kwa fani hiyo niliyosemea
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Lengo LA MTU kutafuta KAZI huku akiwa na fani Fulani ,mfano huyu WA kilimo,sio kama kashindwa kuanzisha ilo shamba au kuuza hizo dawa za kilimo na mifugo ,lengo LA kupata KAZI Ili apate daraja LA kuvuka,akaanzishe shamba hiku ana mbegu,hana vitendea KAZI,hii ni miaka ya kilimo biashara,na kama unavyojua biashara yoyote inataka mtaji,,sawa kopo LA mbegu ya karote ni 6000,napatabegu sina eneo,naweza kuwa na eneo LA kuotesha miche tu,vipi nitafanya kama nataka kuandaa shamba kubwakuisha niche niliyohotesha,kama hakuna mvua yanipasa kumwagilia,wapi mbolea,kwaiyo mbegu ni moja kati ya mahitaji ,,kwaiyo tunapochangia mawazo tusiwe kama tunawaponda wenye fani kama awajui kuzitumia fani zao, its me AFO MTARAJIWA
Ndio kk niko vizurKopo la mbegubza karoti ni elfu 6 nenda kanunue panda ndan ya miez 3 unavuna na kutoka kimaisha .by the way unawezaa uza dawa za mifugo? Na umesoma pharmacology and toxicology kweny coz zako nikutaftie dilii
Fact brLengo LA MTU kutafuta KAZI huku akiwa na fani Fulani ,mfano huyu WA kilimo,sio kama kashindwa kuanzisha ilo shamba au kuuza hizo dawa za kilimo na mifugo ,lengo LA kupata KAZI Ili apate daraja LA kuvuka,akaanzishe shamba hiku ana mbegu,hana vitendea KAZI,hii ni miaka ya kilimo biashara,na kama unavyojua biashara yoyote inataka mtaji,,sawa kopo LA mbegu ya lorote ni 6000,napatabegu sina eneo,naweza kuwa na eneo LA kuotesha miche tu,vipi nitafanya kama nataka kuandaa shamba kubwa,kama hakuna mvua yanipasa kumwagilia,wapi mbolea,kwaiyo mbegu ni moja kati ya mahitaji ,,kwaiyo tunapochangia mawazo tusiwe kama tunawaponda wenye fani au awajui kuzitumia fani zao, its AFO MTARAJIWA
Mtarajiwa wa wap,au upo chuo gan saivLengo LA MTU kutafuta KAZI huku akiwa na fani Fulani ,mfano huyu WA kilimo,sio kama kashindwa kuanzisha ilo shamba au kuuza hizo dawa za kilimo na mifugo ,lengo LA kupata KAZI Ili apate daraja LA kuvuka,akaanzishe shamba hiku ana mbegu,hana vitendea KAZI,hii ni miaka ya kilimo biashara,na kama unavyojua biashara yoyote inataka mtaji,,sawa kopo LA mbegu ya lorote ni 6000,napatabegu sina eneo,naweza kuwa na eneo LA kuotesha miche tu,vipi nitafanya kama nataka kuandaa shamba kubwa,kama hakuna mvua yanipasa kumwagilia,wapi mbolea,kwaiyo mbegu ni moja kati ya mahitaji ,,kwaiyo tunapochangia mawazo tusiwe kama tunawaponda wenye fani au awajui kuzitumia fani zao, its AFO MTARAJIWA
,powaaaaa kkTutor b mi nataka tuwe na wewe tuianze iyo KAZI moja kisha ianzishe nyingine ,mi mchango wangu ujuzi niliokuwa nao wewe,itabidi uchangie material zote za kilimo,,kwanza nataka tuanze na hotculture crops,kama ,tikiti maji,matango,bamia,nyanyachungu na mazao mengine, ,ukiwa tayari nicheki mi mchango wangu mda wowote ukinambia tunaanza, sim yangu ni 0655033431
Kilimo uyole DiplomaMtarajiwa wa wap,au upo chuo gan saiv
Nina DiplomaAndika basi andiko lako litoe maelezo ya kutosha. Umesoma kwa kiwango gani? Uzoefu? Nk
Unaishi wapi? Mi niko Mwanza.Tutor b mi nataka tuwe na wewe tuianze iyo KAZI moja kisha ianzishe nyingine ,mi mchango wangu ujuzi niliokuwa nao wewe,itabidi uchangie material zote za kilimo,,kwanza nataka tuanze na hotculture crops,kama ,tikiti maji,matango,bamia,nyanyachungu na mazao mengine, ,ukiwa tayari nicheki mi mchango wangu mda wowote ukinambia tunaanza, sim yangu ni 0655033431
Hapo kwenye ukame ndo kuna deal .. mvua zikishanyesha ina maana kila mtu analima ... Lima kipindi cha ukame ndo ubabue njululu za kutosha.Subiri Ukame Uishe
Uko mkoa gani?Tutor b mi nataka tuwe na wewe tuianze iyo KAZI moja kisha ianzishe nyingine ,mi mchango wangu ujuzi niliokuwa nao wewe,itabidi uchangie material zote za kilimo,,kwanza nataka tuanze na hotculture crops,kama ,tikiti maji,matango,bamia,nyanyachungu na mazao mengine, ,ukiwa tayari nicheki mi mchango wangu mda wowote ukinambia tunaanza, sim yangu ni 0655033431