Kuna nafasi za Kazi Chuo cha Mipango wanahitaji Tutorial Assistant, upo tayari..!?Hello wadau,
Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.
Asante
Kama ni Mwanza niko tayariKuna nafasi za Kazi Chuo cha Mipango wanahitaji Tutorial Assistant, upo tayari..!?