Natafuta kazi, ni designer wa viatu vya Kimasai!

Baraka sheni

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
470
193
Habari wana jamii forum naitwa baraka sheni namiaka 20 pia elimu yangu ni kidato cha nne.

Kilicho nifanya nikwambie upite hapa ni kuhusu suala la ukosefu wa ajira, nilikuwa disgner wa viatu vya kimasai vya ngozi na vyashanga kutokana matatizo aliyo kuwanayo bosi ika mlazim kufunga ofisi.

Kwa sasa sina kazi yoyote ya kuniingizia kipato nahitaji msaada wenu natafuta kazi iwe ya usiku au mchana mi nipo tayari naishi dar.

Contact 0659865639

Tusaidiane kwani sote ni familia moja.

Kazi njema
 
Sasa kama ulikua na unajua vizuri basi leta mchanganuo wa biashara hiyo kama kuna watu wana mtaji mnaweza kufanya biashara ya ku share usikate tamaa maisha hapa mjin ni ujanja janja bidii na kuthubutu...
 
Mtaji wake ni sh laki nne na faida yake ni laki sita hapo unatoa pea mia moja na kila moja ni sh 10000 kwa hiyo pea 100 mara bei ya pea 10000 inakuwa sawa na milioni moja.
 
Mtaji wake ni sh laki nne na faida yake ni laki sita hapo unatoa pea mia moja na kila moja ni sh 10000 kwa hiyo pea 100 mara bei ya pea 10000 inakuwa sawa na milioni moja.

Unaweza kuweka picha ya viatu ulivyowahi kutengeneza?
 
Tafuta gazeti la mtanzania la leo,, uhamiaji wametangaza kazi kwa elimu yako uombe
 
Pea 20 natengeneza kwa cku moja kuanzia saa 12 asubuhi hd saa 3 uck mzigo unakuwa tayari.
 
Cku sita yaani hapo na mm nakuwa na nguvu ila kama nikisema nikaze natumia cku nne hapo lazima cku moja nikeshe nikiwa naandaa pleti.
 
Back
Top Bottom