Natafuta kazi: Mwalimu wa Physics na Chemistry

SAINT MATATA

Member
Dec 5, 2022
21
34
Habari zenu waungwana? Ninaleta kwenu ombi la nafasi ya kazi kwa shule ambayo ina uhitaji wa mwalimu wa masomo ya physics na chemistry. Ni binti.

Amemaliza chuo mwaka jana. Shule iwe Dar es salaam au mikoa ya jirani. Ni competent na ni hardworking.

Asanteni sana.
 
Nipe namba p
Nipe namba pm mkuu, ikiwa Leo itapendeza, location ni kitunda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…