Natafuta kazi-Muhandisi madini

cheze

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
501
330
Salama wadau,
Nauzoefu wa miaka 6 migodi mikubwa-dhahabu na migodi ya kati-dhahabu, fani ni ya uhandisi uchakataji madini. Elimu ni ya shahada COET.
Ujasiriamali umekuwa mzigo awamu ya 5.
Asanteni.
 
hahagahaaaaa mmeipenda wenyewe nte nte,chaguo lenu wenyewe nte nte,wacha muisomenambaweeee nyinyiemu mbele kwa mbele
 
Salama wadau,
Nauzoefu wa miaka 6 migodi mikubwa-dhahabu na migodi ya kati-dhahabu, fani ni ya uhandisi uchakataji madini. Elimu ni ya shahada COET.
Ujasiriamali umekuwa mzigo awamu ya 5.
Asanteni.
nenda bostwana haraka hata kwa basi
 
Nenda Geita kakomae na wachimbaji wadogo wadogo.
kule kila mahali ni dhahabu tu, huenda ukafanikiwa coz una ka utaalamu kidogo ka uchakataji.
 
Mahitaji ya wataalamu wa kada yetu nilisikia ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom