saimon joseph
Member
- Jun 4, 2016
- 24
- 6
Jamani,nami pia ntapenda kuungana nanyi kama mtafanikiwa kupata huo mchongo,namba zangu ni 0656415981.Habari zenu Wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23, Ninaomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia Kazi yoyote katika msimu huu wa sababu , Kama kufanya matangazo ya bidhaa mbalimbali na Kazi nyinginezo zitakasokuwa zinahusika Sabasaba.
Nina uzoefu wa miaka miwili as a brand Ambassador wa kampuni mbalimbali za masoko .. Na najua vizuri kuongea na mteja kwa kujiamini .
Natanguliza shukrani