Chai Maziwa Member Joined Jan 24, 2022 Posts 82 Reaction score 461 Oct 29, 2024 #1 Habari. Natafuta kazi maeneo ya Moshi. Nmehitimu nna vyeti kwenye kada za afya. Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au huduma nyingne zozote za afya. Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya Nipo Moshi mjini
Habari. Natafuta kazi maeneo ya Moshi. Nmehitimu nna vyeti kwenye kada za afya. Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au huduma nyingne zozote za afya. Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya Nipo Moshi mjini
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 12,030 Reaction score 37,322 Oct 29, 2024 #2 Weka salary scale kabisa
Chai Maziwa Member Joined Jan 24, 2022 Posts 82 Reaction score 461 Oct 29, 2024 Thread starter #3 Red black said: Weka salary scale kabisa Click to expand... Salary maelewano kutokana na kazi ntazopatiwa...
Red black said: Weka salary scale kabisa Click to expand... Salary maelewano kutokana na kazi ntazopatiwa...
Richard Kasubi Member Joined Sep 16, 2018 Posts 92 Reaction score 69 Oct 29, 2024 #4 Chai Maziwa said: Habari. Natafuta kazi maeneo ya Moshi. Nmehitimu nna vyeti kwenye kada za afya. Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au huduma nyingne zozote za afya. Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya Nipo Moshi mjini Click to expand... Ulijaribu kuomba hizi za Wizara..!?
Chai Maziwa said: Habari. Natafuta kazi maeneo ya Moshi. Nmehitimu nna vyeti kwenye kada za afya. Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au huduma nyingne zozote za afya. Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya Nipo Moshi mjini Click to expand... Ulijaribu kuomba hizi za Wizara..!?