Natafuta kazi mojawapo kati ya hizi

Natafuta kazi mojawapo kati ya hizi

MAANAX

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Mimi ni kijana nipo dar. nimaliza form four natafuta kazi mojawapo kati ya hizi, kuuza duka/supermarket au stationary. contact me on 0756525889
 
si ubora utafute mashamba uanze kilimo maana unaenda kujifunza uvivu
 
Mimi ni kijana nipo dar. nimaliza form four natafuta kazi mojawapo kati ya hizi, kuuza duka/supermarket au stationary. contact me on 0756525889

Haikufai hiyo kazi kwa umri wako, utajifunza udokozi bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom