Natafuta kazi Mbeya mjini

Mkuu ungefafanua zaidi katika taaluma yako nini unaweza kufanya , je ni mtambo gani haswa unaweza kuwa vizuri nao na mtambo upi bado unapelea waajiri wapo humu Ila namna unavyotoa tangazo ni changamoto sana
 
Natengeneza ac (air conditioner) , magari ufundi na mashine zingine zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…