natafuta KAZI mabosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta KAZI mabosi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by toyo, Aug 4, 2012.

 1. toyo

  toyo Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani dah natafuta kazi nasoma open university bacherol of education.a level nimemaliza azania sec. nipo ready kwa kzi yoyote yenye malipo mzuri.naitwa ibrahimu a. daud contact 0717-927771
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Maliza kwanza chuo basi mkuu au unataka ukatize masomo?
   
 3. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watu tuko kitaa tangu tumalize masters mwaka wa 6 hakijaeleweka ww bado uko shule unataka kazi
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu, umemaliza A level tu unataka kulipwa mshahara mkubwa je ukimaliza hiyo degree? Jua kuna watu wana degree zao lakini wanatamani kazi hata zakuwasogeza siku lakini hawajapata, au sijakuelewa vizuri pale uliposema "kazi yenye malipo mazuri", hapa onaonesha hauna shida ya kazi weye!
   
 5. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  akyanani,watu tuko mtaani mwaka wa 2,jamani dah
   
Loading...