wakunyumba2
Member
- Aug 15, 2015
- 31
- 7
Nipo mafinga iringa natafuta kazi ya laboratory .Natanguliza shukrani zangu
Kumbe hata afya kumebuma ???Nimesomea medical laboratory
Tatizo vijana wa siku hizi sijui wanasoma nini huko mashuleni. Hata kuandika job application letter hawawezi. Huko kazini mtaweza kufanya kazi kweli?? Nyota njema huonekana asubuhi.Kumbe hata afya kumebuma ???
Tatizo vijana wa siku hizi sijui wanasoma nini huko mashuleni. Hata kuandika job application letter hawawezi. Huko kazini mtaweza kufanya kazi kweli?? Nyota njema huonekana asubuhi.
*Natangaza tena*Nipo mafinga iringa natafuta kazi ya laboratory .Natanguliza shukrani zangu
Ngoja nikufungue akili. Jamaa kasema laboratory technologist maana take Ni lab practitioner level ya diploma.Matangazo kama haya ya kutafuta kazi ni muhimu na lazima ueleze level ya elimu yako...ni certificate au diploma au degree?? Sasa ukisema tu lab technician nani atajua kiwango chako cha elimu?