Habari,
Mimi ni kijana mwenye miaka 24 elimu yangu ni Diploma in Accountancy and Financy naishi Dodoma kwa yoyote anayehitaji mfanyakazi kwenye maeneo niliotaja apo juu (ofisini, maduka ya aina zote) naomba tuwasiliane.
Nitashukuru kwa ushirikiano wenu wakuu..