Natafuta kazi kwenye kampuni inayohusiana na IT, software development

Pole sana ndugu,kazi ni janga la kitaifa.Wakati unaendelea kutafuta kazi fikiria kama unaweza kuwa unatafuta tempo.Una experience ya miaka mingapi kazini na ni kitu gani uko competent kwa sasa hauhitaji kufundishwa unaweza kukifanya vizuri?
Networking uko vizuri?
 
Umetengeneza system gani ya hizo language ulizotaja? ni PM cv yako, kuna project ntakuwa nafanya december
 
Pole sana ndugu,kazi ni janga la kitaifa.Wakati unaendelea kutafuta kazi fikiria kama unaweza kuwa unatafuta tempo.Una experience ya miaka mingapi kazini na ni kitu gani uko competent kwa sasa hauhitaji kufundishwa unaweza kukifanya vizuri?
Networking uko vizuri?[/QUOTO
 
Salama wana JF !

Mimi ni mhitimu wa shahada ya science in computer science,nilikuwa na kibarua mkatabta wake ungeisha baada ya miezi kumi na tano mbele lakini mradi umesitishwa ghafla,si unajua mambo ya wafadhili tena.Riziki imekatika ghafla.

Kampuni ya IT inayotengeneza software au mtu binafsi naomba anichukue,anaweza akanilipa kwa kazi .Ni mzuri sana kwenye IT upande wa coding.Natumia language ya PHP na Java,kuna system nimeitengeneza .Pia nina ujuzi wa vitu vifuatavyo.

1.Mysql

2.Sqlite

3.HTML and XML

4.CSS

5.Website Design using Joomla.

6.Javasript and Jquery

7.Designing Android application

Namba yangu ya simu ni 0788252999.Nipo Dar es salaam.

Nakupa zoez kidogo ukiweza ntafute.
To the javascript array prototype add a method called shuffle.
When called to an array, shuffle the array rondomly and return the new shuffled array.
eg. [1,2,3,4].shuffle(); gives something like [4,1,3,2] or [1,4,2,3]
 
ni hii kazi inakuwaje mkuu, huusiki https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/756526-tunafunga-air-condition-ac-kwa-bei-nafuu.html
 
vp umeona swali langu au hujaliona?

function shuffle(array) {
for (var i = array.length - 1; i > 0; i--) {
var j = Math.floor(Math.random() * (i + 1));
var temp = array;
array = array[j];
array[j] = temp;
}
return array;
}
 
Nakupa zoez kidogo ukiweza ntafute.
To the javascript array prototype add a method called shuffle.
When called to an array, shuffle the array rondomly and return the new shuffled array.
eg. [1,2,3,4].shuffle(); gives something like [4,1,3,2] or [1,4,2,3]

function shuffle(array) {
for (var i = array.length - 1; i > 0; i--) {
var j = Math.floor(Math.random() * (i + 1));
var temp = array;
array = array[j];
array[j] = temp;
}
return array;
}

swali langu linataka uongeze method kwenye Js Array prototype. na wewe ume-create a normal function.

iyo function yako inawezakufanya kazi kama ivi:-
1. [1,2,3,4,5,7].shuffle() na ikazichanganya izo namba umo ndani????
2. au ivi [].shuffle.call([1,2,3,4,5,7]) na ikatoa jibu kama ili // [1,7,3,5,4]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom