Natafuta kazi katika Pharmacy au Hospital

Natafuta kazi katika Pharmacy au Hospital

The_bushman

Senior Member
Joined
Jun 29, 2018
Posts
117
Reaction score
113
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 mhitimu kutoka St John's University Of Tanzania tawi la Dodoma niliyesoma Diploma in Pharmaceutical science.

Natafuta kazi katika Pharmacy au Hospitali yoyote.
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 mhitimu kutoka St John's University Of Tanzania tawi la dodoma niliyesoma Diploma in Pharmaceutical science.
Natafuta kazi katika Pharmacy au Hospitali yoyote.
Simu:0710820669
Technician aliepo Dar es Salaam ama Chalinze mwenye leseni nitext 0712936356
 
Mkuu samahani, sina kazi ya kukupa ila naomba kuuliza.

Hivi kwa waliomaliza course hizo za afya vyuo vya serikali hupangiwa/kutaftiwa kazi na serikali au wanatafuta wao kama wao kama wahitimu wa course nyingine tu.

Kuna mtu anasoma moja hizo course, yeye anasema wakimaliza wanajaza form eidha kuapply kazi vijijini kwa kupitia tamisemi au mijini kupitia kitu gani sijui apo nimesahau kidogo.
Naomba unipige brash kidg hapo, tusijepoteza nguvukazi kwa kuamini akimaliza ni direct kazini kumbe sivyo..
 
Navyojua ni kwamba wanatafuta wao kama wao kuhusu kujaza fomu kufanya kazi vijijini ni kwamba mtu anaweza kuamua kujitolea kufanya kazi huko kutokana na upungufu wa wataalamu wa afya maeneo,fomu aliyojaza inakuwa kama utambulisho tu kutoka chuoni.
 
Technician aliepo dar es salaam ama chalinze mwenye leseni nitext 0712936356
Asante mkuu.. mimi bado sijafanya mtihani wa leseni, nitakusaidia kusambaza kwenye magroup mengine ya pharm Technician
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom