Natafuta kazi katika makampuni yanayo husika na mazingira

charles ogopa tapeli

Senior Member
Jul 15, 2013
122
49
Habari zenu wana Jamiiforums.
Mimi ni msomi mhitimu wa shahada ya kwanza kutoka chuo kikuu cha udsm.
Natafuta kazi katika makampuni yanayohusika na mazingira kwa maana nzima ya "Environmental Consulting firms" hasa katika kufanya EIA pamoja na kuandika miradi ya namna yeyote..,pamoja na kazi zingine zote za kitaalamu zinazohitaji uelewa.
Kwa mwenye kunisaidia kupata naomba ani PM...,Tuwasiliane huko.
Msaada wenu wanajamvi.
 
Nenda ukafanye internship STAMIGOLD biharamulo bure chapa kazi watakuajiri, au tafuta email ya makamba January mtumie CV akulinkishe na kampuni husika
 
Back
Top Bottom