Natafuta kazi iliyo ya halali

audaxia

Member
Nov 30, 2014
13
7
Mimi ni kijana wa kike, elimu yangu ni ya chuo kikuu (BSc in chemical and process engineering 2010 UDSM) nina uzoefu mzuri na mambo ya quality control hasa kwenye viwanda vya chakula. Kazi sio lazima iendane na profession yangu! Kama kuna mtu anay3jua sehemu kuna chance anitaarifu kupitia PM! Natanguliza shukrani zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom