Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 940
Nipo maeneo ya mwanza natafuta kazi hasa ya udereva sababu ndio fani yangu kubwa naendesha magari ya aina yote manual na auto iwe tax,hilux,pickup na mengineyo leseni yangu ina niruhusu mwisho canter na nipo tayari kufanya mkoa wowote uzoefu miaka sita.....kwa maasiliano nicheki DM au kelvinfrnk@hotmail.com.N hiyo hapo chini ndio leseni yangu.