Natafuta kazi halali jijini Dodoma

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
11,963
Reaction score
27,031
Huu uzi ufutwe.

Nilikuwa na kijana Namuombea kazi.

Alikiwa ni kijana wa Dodoma

Elimu yake
Undergraduate Development Economics.

Masters Degree in Finance and Investment.

AMEMALIZA MASOMO NA AMEPATA KAZI.

Asanteni kwa ushirikiano.
🙏
 
HABARI WANA JAMII FORUMS.

Ndugu zangu na watanzania wenzagu mimi kijana wenu, ninaomba kazi yoyote ya Halali, NINA SHIDA NZITO SANA NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU.

NAPATIKANA DODOMA.
Asanteni sana
Anaandika mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika diwani ya mnyampara .

"Ni kheri kunguni mmoja katika walio wengi ambaye hajajikuta ana akili kuliko wenzio maana vijana wa nyakati zijazo watakuwa wajinga sana kama CAPO DELGADO kijana mmoja katika usomi wa kuunga unga ."

Ila pia anaandika kijana mmoja wakuitwa TUKANA UONE

" Ukweli usiopingika ni kuwa vijana mnajikuta wajuaji ilihali kumbe ni njaa za tumbo zinawaendesha sana "

Kuchagiza katika mada hizo basi naye daktari wa watu , ambaye ni wa mzaramo wa kwanza kwenye ukoo wao kuwa daktari bwana MENEMENE TEKERI NA PERESI alikuwa na haya ya kusema .

" Vijana wa kileo mnajikuta sana kumbe maisha hayaendi hivyo "
 
Hahaaa kaisha basi
 
Mkuu kijana mwenzio anaomba kazi inapaswa umsaidie kama unayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…