Habari za kazi wana JF.Nimekuja kwenu kuomba msaada au kazi kwa yeyote mwenye connections maana jamii forums hakuna kinachoshindikana.Mimi ni graduate wa mwaka huu Civil engineering, nilikua naomba yeyote anayeweza kunisaidia kwa hili , hata internship naweza fanya kwa kuanzia.Natanguliza shukurani Mungu awabariki