Natafuta kazi, elimu yangu kidato cha sita

form six sio sawa na diploma wala sio sawa na Certificate mfano MTU kwenye Certificate ya nursing unaweza mfananisha na form six tumia akili ww form six. ni sawa na form four ulitaka hakufanyie kazi lazima umpe training kwanza ww
Hahahaha kwa kutumia kigezo gani form six akawa sawa Na form four?
 
Kwahiyo hata kufagia ofis siku hiz inahitaj uwe na phd? au sijakuelewa uliposem hakun kazi za kidato cha sita.
tusiosoma tunanyanyasika sana. bora yeye A-level
sisi tulioishia la7 ndo takataka kabisa.
wanasema sio kazi ni kibarua.
kwahiyo sisi huwa tunatafuta kibarua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom