Natafuta kazi, elimu yangu kidato cha sita

nyamima

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
211
73
Umri wangu miaka 26,naishi dar natafuta kazi halali elimu yangu kidato cha sita.
 
Kwa hiyo inamuhusu nii yeye?

Unafikiria kusoma tu ndio kusonga mbele maishani?
Nani kakwambia maisha ni kusoma tu? Nmemwambia hivo pia kumkomboa kifkra aone tatizo la ajira lilivyokumba vijana weng na sio yeye tu, so kwa akili zako waona naweka kigezo cha kufanikiwa katika maisha ni kusoma? Kama uwezo wa kufikiri ni Mdogo si lazma uchukue jukumu lakulazmisha linalokuzidi uwezo!
 
kidato cha sita ? sijui kama kuna kazi za kidato cha sita ndugu yangu maana hata polisi upati jeshi upati umri umezifi nakushauri nenda kasomee udereva
 
Yaani wewe kwa kukatisha tamaa unatisha hivi unajua form six ni equivalent na diploma?
Mimi niliwahi kupata kazi SBC, sifa ilikuwa diploma au f6.
Kama hujui vitu basi kaa kimya.
Nasasa niko kwenye ajira gvt mwaka wa pili sina degree wala diploma although ndo naisaka degree sasa.
Private and gvt institutilns both offer positins for form4 &form4 leaver ,ila tu ndo vile uwe tayari hata kulipwa kidogo.Pia kuna nafasi kwa six au f4 zinahitaji angalau kijana awe na kachet cha short course ya miezi 3.
 
Kuna watu walizaliwa kwa ajili hiyo ya kukatisha tu wenzao tamaa so hawanisumbuagi nawaelewa tuu.
 
Yaani wewe kwa kukatisha tamaa unatisha hivi unajua form six ni equivalent na diploma?
Mimi niliwahi kupata kazi SBC, sifa ilikuwa diploma au f6.
Kama hujui vitu basi kaa kimya.
Nasasa niko kwenye ajira gvt mwaka wa pili sina degree wala diploma although ndo naisaka degree sasa.
Private and gvt institutilns both offer positins for form4 &form4 leaver ,ila tu ndo vile uwe tayari hata kulipwa kidogo.Pia kuna nafasi kwa six au f4 zinahitaji angalau kijana awe na kachet cha short course ya miezi 3.
Hivi diploma holder wa accountant,It,engineering, nursing,architecture utamfananisha na form 6 ???

Haha haupo serious kiongozi ..

Form 6 hana skills yeyote ile yeye anajua what is that ,explain this basi
 
Haya asante kwa taarifa yako.. nimekuelewa.
 
Ni nadra sana kumpata mtu aliyeishia f6 tu kwa sasa! Kwa jinsi hii kazi utapata! Ila utabadilisha sana bahasha za vyeti!!
 
Hivi diploma holder wa accountant,It,engineering, nursing,architecture utamfananisha na form 6 ???

Haha haupo serious kiongozi ..

Form 6 hana skills yeyote ile yeye anajua what is that ,explain this basi
Nazungumzia level ndugu.
Mf.JWTZ kuna kozi ili ukasomee watahitaji uwe na degree au advanced diploma au Six.
Kwa kauli yako nijibu hili, je, mhasibu na mwanasheria wanaweza kufanya kazi moja?
Kama huna jibu basi ngoja nikijibu.Hawa huweza kufanya kazi ya aina moja at the same time hawa hawawezi kifanya kazi moja.Mkienda kuzungumzia masuala ya sheria mhasibu atabaki mdomo wazi ingawa ana shahada pia na mkienda ktk masuala ya monetary mwanasheria atakuwa lofa ingawa hawa ni level moja.
Acha kubishabisha tu ndugu, kielimu chako kidogo hicho ndk uanze kudharau wenzako
 
Yaani wewe kwa kukatisha tamaa unatisha hivi unajua form six ni equivalent na diploma?
Mimi niliwahi kupata kazi SBC, sifa ilikuwa diploma au f6.
Kama hujui vitu basi kaa kimya.
Nasasa niko kwenye ajira gvt mwaka wa pili sina degree wala diploma although ndo naisaka degree sasa.
Private and gvt institutilns both offer positins for form4 &form4 leaver ,ila tu ndo vile uwe tayari hata kulipwa kidogo.Pia kuna nafasi kwa six au f4 zinahitaji angalau kijana awe na kachet cha short course ya miezi 3.
form six sio sawa na diploma wala sio sawa na Certificate mfano MTU kwenye Certificate ya nursing unaweza mfananisha na form six tumia akili ww form six. ni sawa na form four ulitaka hakufanyie kazi lazima umpe training kwanza ww
 
Hivi diploma holder wa accountant,It,engineering, nursing,architecture utamfananisha na form 6 ???

Haha haupo serious kiongozi ..

Form 6 hana skills yeyote ile yeye anajua what is that ,explain this basi
ajielewe form six uwezi mfananisha hata na Certificate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom