Dah!!Ushauri mzuri sana huu,ufanyie kazi kijanakama unaweza kuuza duka,basi fanya hivi muda si mrefu utakuwa tajiri.tafuta elfu tano,panda gar sehemu ulipo nenda kariakoo.ukifika kanunue,pakiti mbili za sigara,moja ya SM na nyingne ya SPORT ambapo kila pakiti inauzwa 2000.ukiuza pakiti moja unapata 4000,so kwa pakiti mbili utapata 8000.chukua yote 8000,kanunue pakiti nne,mbili za SM,moja ya SPORT,na nyingne moja ya EMBASSY.ukiuza unapata 16000.unaweza ukaendelea kuuza kwa kuzunguka mitaa yote ya kariakoo na kwa siku unaweza uza mpaka pakiti 20 ila inategemeana kuhimili kwako kuzunguka juani.utaweza pata hela nyingi kwa muda mfupi na ukapanua biashara yako au hata kuibadilisha.
Du
hivi inakuwaje mtu anaanzisha thread yake kwa kuomba ushaur au msaada
then mtu unakuja badala ya kumjibu au kumshauri unapandikiza sub-thread
ndan ya mada ya mwenzio kuweka mada yako binafs hujui kuanzisha new uzi?binafsi huwa inanikera sana,kama ni wewe umeanzisha uzi wako kwa sensitive isu mtu akuchanganye hv unajifeel vp?
kama unaweza kuuza duka,basi fanya hivi muda si mrefu utakuwa tajiri.tafuta elfu tano,panda gar sehemu ulipo nenda kariakoo.ukifika kanunue,pakiti mbili za sigara,moja ya SM na nyingne ya SPORT ambapo kila pakiti inauzwa 2000.ukiuza pakiti moja unapata 4000,so kwa pakiti mbili utapata 8000.chukua yote 8000,kanunue pakiti nne,mbili za SM,moja ya SPORT,na nyingne moja ya EMBASSY.ukiuza unapata 16000.unaweza ukaendelea kuuza kwa kuzunguka mitaa yote ya kariakoo na kwa siku unaweza uza mpaka pakiti 20 ila inategemeana kuhimili kwako kuzunguka juani.utaweza pata hela nyingi kwa muda mfupi na ukapanua biashara yako au hata kuibadilisha.

Habari zenu wanajamii forum mm ni mzima wa afya kabisa ila ombi langu ninatafuta kazi ya kuuza duka,supermarket, na hata kampuni hizi za utafiti mwenye kunisaidia naombeni nimezunguka kupata kazi imeshindikana nipo dar elimu yangu kidato cha nne
Theoretically possible, practical ????? Not as simple as ABCD