Natafuta kazi, elimu ya kidato cha nne

Natafuta kazi, elimu ya kidato cha nne

Enock michael

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
25
Reaction score
1
Mim n kijana mwenye miaka 20 nmemalza form 4 mwaka 2012 natafuta kazi za viwandani au maofisi namba yangu ya simu n 0652144501 nisaidien tafadhal
 
Kuna kazi za Research Ipsos Synovate andika CV na copy ya chet cha form 4 na barua kutoka serekali ya mtaa then nenda mikochoni shuka ki2 cha kisiwan jengo linaitwa Legent business park nawe utapata ishu zakuzugia town utawakuta vijana wenzio kibao wapo huko wanafanya tafiti yani (researher)
 
Mim n kijana mwenye miaka 20 nmemalza form 4 mwaka 2012 natafuta kazi za viwandani au maofisi namba yangu ya simu n 0652144501 nisaidien tafadhal

Angalia gazeti la kesho la Mwananchi kazi ya muudumu wa ofisi katka Halmashauri moja
 
POSITION: OFFICE ASSISTANT: 1 POST
1. Duties and Responsibilities:
Collects and delivers mail, drawings and other
communications to and from
clients/associates premises and the post office;
Supports the team by providing administrative and
clerical support as requested,
including in preparing, copying, collating, binding,
filing, distributing documents,
mail, and notifications as instructed;
General clerical assistance including purchasing and
managing of stationeries and
other office sundries;
Provide logistical, hospitality and administrative
support generally, including during
events and meetings, as required;
Performs other duties as assigned.
2. Qualifications:
Secondary education
Good written and spoken English
Administrative skills
Knowledge in windows application software and
experience in similar works will be
an added advantage.
MODE OF APPLICATION
Applications should be submitted to the address
below before closure of business 31st October 2014
or through email info@mes-engineering.co.tz .
Applications must bear complete contact addresses
including telephone number (s) and email address.
Only short-listed applicants will be contacted. If
you won’t hear from us within two (2) weeks
from the deadline, you should consider yourself
unsuccessful.
 
Cku chache zlzopta nliandka kua natafuta kaz elimu kidato cha nne ukwel bado cjafankiwa naweza kufanya kazi nyng coz nna uzoefu w kufanya kaz kwnye kiwanda cha mifuko ipl naomba mnisaidie il nfank we kwnye azma yng hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom