Natafuta kazi, Elimu ya Kidato cha Nne

Natafuta kazi, Elimu ya Kidato cha Nne

Endelea kuwa PM majibu,majawabu na matokeo utuletee humu!!!
 
Hahaha Angekuwa mwanaume mwenzenu sijui kama mngeendeleza drama hizi za kutaka kumsaidia!!
 
nina mpango wa kufungua sehemu ya vyakula karibuni ukibanwa sana njoo tupige kazi
 
jitahidi pia kwenda kuomba kwenye stationary au kama una kamtaji kidogo fungua internet cafe wafundishe watu jinsi ya kutumia computer
kama huna pa kuanzia nenda pale amazon ya mbezi watakusaidia wale pale makonde kwa nyuma ya shule ya valentine watakusaidia
 
Hahaha Angekuwa mwanaume mwenzenu sijui kama mngeendeleza drama hizi za kutaka kumsaidia!!

hatuna ubaguzi wa jinsia kajieleza huyu mkuu UACHE UBAGUZI NA WIVU WAKO AU KE MWENZIO
 
hatuna ubaguzi wa jinsia kajieleza huyu mkuu UACHE UBAGUZI NA WIVU WAKO AU KE MWENZIO
Mkuu sina tone hata la wivu,namtahadharisha na wazee mafisi!!huyo mwanamke mie mwanaume then wivu wa nini!simjui wala sikujui wewe pia!so sina wivu kwa jambo jepesi kbs!
 
Mkuu sina tone hata la wivu,namtahadharisha na wazee mafisi!!huyo mwanamke mie mwanaume then wivu wa nini!simjui wala sikujui wewe pia!so sina wivu kwa jambo jepesi kbs!

maana unaonyesha u KE Wake ndo unafanya wanaume tumsaidie okay take easy mkuu pamoja
 
Habari za Leo wapendwa, Mimi ni msichana mwenye miaka 24 elimu yangu ni kidato cha NNE .
Kwa heshima na taadhima naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata kaz inayoendana na elimu yangu. Nina Basic certificate ya Hotel Management .
Pia Nina uwezo wa kutumia computer . Kazi ambazo Nina uzoefu nazo ni pamoja na;
1. Receptionist( Nina uzoefu wa Mwaka mmoja na nusu).

2: Cashier kwenye gaming machines kwa mwaka 1.

3: Promo girl, sales and Promotion.

Lakini pamoja na hayo kazi zingine ambazo ni halali naweza kufanya kama usafi maofisin n.k.

NATANGULIZA SHUKRANI .

NIPO DAR ES SALAAM. MUNGU AWABARIKI SANA.

Nicheki kwa email hii developers@grabcityinfo.com

Pia pita kwenye hii mobile app HAPA uone kazi unazotaka
 
Back
Top Bottom